1 John 5:6

Ushuhuda Kuhusu Mwana Wa Mungu

6 aHuyu ndiye alikuja kwa maji na damu, yaani, Yesu Kristo. Hakuja kwa maji peke yake, bali kwa maji na damu. Naye Roho ndiye ashuhudiaye, kwa sababu Roho ndiye kweli.
Copyright information for SwhNEN